James alikuwa kijana ambaye anaishi mtaani kwetu, tuliweza kujuana na kuonana mara kwa mara, siku moja natoka Stand ya Buza ili niende nyumbani, nikakutana na James na kuniomba namba yangu ya simu, bila tatizo niliweza kumpatia.
Usiku huo James aliweza kunipigia simu na kuniomba tuwe wapenzi, maneno hayo yalinishtua kwa sababu alikuwa miongoni mwa vijana wanaosifika kwa kuwa na tabia mbaya mtaani kwetu. Soma zaidi hapa.
Post a Comment