Hii ndio dawa ya kuikinga biashara yako na kukuletea!


Mara nyingi watu wanasema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa kamwe, hiyo ni kutokana matajiri wote duniani ni wafanyabiashara na wajasiriamali wakubwa ambao wamekuwa wakiuza bidhaa na kutoa huduma.

Naitwa David kutoka Ilala, tangu nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana biashara, nakumbuka nikiwa kijijini kwetu huko Meru, mara kadhaa nilikuwa naenda sokoni kuuza vitu wakati ningali mdogo.

Niliamua kufanya hivyo kutokana na hali ya umaskini iliyokuwa imeikumba familia yatu kwa kiasi kikubwa. Nilijiapiza siku ambayo nakuja kuwa mtu mzima lazima nifanye biashara kubwa.

Baada ya kuwa mkubwa nilihamia Dar es Salaam kwa shangazi yangu, nilianza kufanya kazi katika Mgahawa mmoja ambapo nilitunza fedha hadi kupata mtaji ambao niliutumia katika biashara. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post