“From Side Chick to Wife?” Mpango wa Kando Atwaa Ndoa Ya Kiserikali Baada ya Kuweka Penzi Imara kwa Siri Miaka Mitano

 


Najua watu wengi watanihukumu kwa kichwa hiki peke yake, lakini naomba unisikilize kabla hujanitupia mawe. Nilipokutana na Paul, sikujua kwamba alikuwa tayari ameoa. Alijitambulisha kama mfanyakazi wa serikali, mjane mwenye mtoto mmoja.

Tulikutana kwenye mkutano wa kitaaluma Arusha. Alikuwa mwenye heshima, mpole, na alikuwa anajua kuzungumza kwa lugha inayovutia mwanamke yeyote. Kabla sijajua, tulikuwa tumeshazoeana, tukawa karibu zaidi ya kawaida. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post