BREAKING: YANGA WAMTANGAZA KOCHA WAO MPYA


 Yanga imemthibitisha Romain Folz kuwa Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi akichukua nafasi iliyoachwa na Miloud Hamdi

Folz anatua Yanga akiwa na kibarua cha kuendeleza utamaduni wa kushinda mataji wa Wananchi

Lakini kiu kubwa ya mashabiki wa Yanga ni kuona timu yao inafanya vizuri zaidi katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao

Kocha huyo raia wa Ufaransa akiwa pia na asili ya Morocco, atakuwa na takribani wiki sita za kukiandaa kikosi chake kabla ya kukaribisha msimu mpya Septemba 2025

Huna sababu ya kukosa kutazama michuano ya CHAN LIVE kupitia Simu yako

Michuano hii itaanza Agosti 02, kwa mechi ya ufunguzi kuchezwa katika dimba la Benjamin Mkapa kwa wenyeji Taifa Stars kucheza dhidi ya Burkina Faso.

Usikose kuitazama michuano hii LIVE  bure kupitia simu yako  download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post