Beki Mpya Simba atua tayari kuanza kazi

Beki Mpya Simba atua tayari kuanza kazi

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kbonyeza HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Beki mpya wa kati wa klabu ya Simba Rushine De Reuck amewasili nchini tayari kuanza majukumu ndani ya Wekundu hao wa Msimbazi

Rushine ametua Msimbazi akitokea klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Msimu uliopita aliitumikia Maccabi Petah Tikva ya Israel kwa mkopo

Kitasa hicho cha nguvu kimetua kuchukua nafasi ya Che Malone Fondoh aliyetimkia USM Alger

Usikose kuzitazama mechi hizi leo ARSENAL vs NEW CASTLE, TANZANIA vs SENEGAL na BARCELONA vs VISSEL KOBE  LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post