Bajaber kujiunga na Simba Mapema

Bajaber kujiunga na Simba Mapema

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPAau HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Winga wa Polisi Fc, mabingwa wa ligi kuu ya Kenya Mohammed Bajaber (22) huenda akaondolewa katika kikosi cha Harambee Stars kitakachoshiriki michuano ya CHAN 2024, imefahamika

Inaelezwa Simba tayari imekamilisha usajili wa winga huo ambapo uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi umeomba mchezaji huyo aruhusiwe kujiunga na waajiri wake hao wapya mapema

Simba inatarajiwa kuelekea Misri kwenye pre-season siku chache zijazo, Kocha Fadlu Davids amewahitaji baadhi ya nyota wake wapya mapema

Nyota mwingine Neo Maema anayetua Simba kutoka klabu ya Mamelodi Sundowns huenda akasubiri hadi kukamilika kwa michuano ya CHAN, August 30

Maema atakiongoza kikosi cha Bafana Bafana akiwa nahodha wa timu hiyo

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post