Aliniacha kijijini na kwenda kutekwa na wanawake wa Dar!

 


Naitwa Meena kutoka katika Arusha, tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka minne, tulikuwa na maisha mazuri kwani hakuna lolote ambalo likuwa kikwazo katika uhusiano wetu.

Baadaye alipata kazi Dar es Salaam, tulikubaliana kuwa aende kufanya kazi hiyo na mimi ningebaki kijijini na watoto, kila mwezi alikuwa akinitumia fedha za kufanya shuguli mbalimbali pale nyumbani kwetu.

Nilimwamini kwani hakuna hata siku mmoja mume wangu alionekana kuwa na mpango wa kando, jambo hili lilipelekea na mimi kumuonyesha mapenzi ya dhati.

Kila baada ya mwezi mmoja alikuwa akija nyumbani kunijulia hali na hapo sikuwa na shaka ya uwepo wake Dar, ila baada ya siku kupita tabia yake ilianza kubadilika.

Hakuwa akipiga simu tena kama ilivyokuwa kawaida yake kila siku, nilianza kushuku mienendo hii yake kwani fedha alizokuwa akituma kila mwisho wa mwezi zilipungua sana na wakati mwingine hakuma kabisa. Bonyeza hapa kusoma zaidi


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post