Kila mtu alijua kuwa mimi na Peter ni marafiki wa kufa na kuzikana. Tulisoma pamoja, tukakua pamoja, na hata tulioana ndani ya miezi mitatu tofauti. Mimi nilimuoa Miriam, yeye akamuoa Sarah.
Mara nyingi tulijadili namna tungejenga nyumba karibu, kulea watoto wetu pamoja, na hata kufungua biashara za familia. Niliamini kabisa kuwa maisha yetu yangeendelea hivyo hadi uzee. Nilijua kabisa kuwa Peter angeshika mkono wangu nikianguka, kama nilivyoshika wake alipovunjika moyo na kazi kumkatisha. Soma zaidi hapa.

Post a Comment