Nilikuwa katika ndoa na mume wangu, Barack ambaye tuliishi kwa amani na hakuna lolote liloonekana kwamba lingetutenganisha kwa wakati wowote ule.
Maisha yalikuwa mazuri hadi wakati ambapo niligundua kwamba sikuwa na uwezo wa kupata mtoto kwani nilikuwa tasa suala ambalo mume wangu alilipokea kwa hali nzuri kwani aliniahidi kwamba angenisaidia kwa hali yoyote kwani alikuwa ananipenda kama mke wake... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment