Hakuna kitu ambacho kimewahi kunipa sana msongo mawazo maishani mwangu kama kipindi ambacho kila wakati nilipokuwa napata fedha zilikuwa zinapotea kama sio kutoweka bila kufanyia jambo lolote la maendeleo.
Jina langu ni Abed, ni mfanyakazi ya wa serikali, kila mwisho wa mwezi nilikuwa napokea mshahara kama wafanyakazi wenzangu lakini mimi nilikuwa nashindwa kupiga hatua kimaisha.
Wenzangu walikuwa wanafungua biashara zao na hata kununua magari, lakini kwangu ilikuwa nikipata tu fedha, basi zinaibuka shida za aina mbalimbali kiasi kwamba unajita zile fedha zote zimeisha. Soma zaidi hapa.
Post a Comment