Katika jamii nyingi za Kiafrika, wizi umekuwa ni chanzo kikuu cha migogoro, hasara na hata visasi. Mara nyingi, wahusika wa wizi hujificha kwa ujanja mwingi, na sheria za kawaida huenda zisitoshe kumweka mwizi wazi, hasa pale ushahidi wa moja kwa moja unapokosekana.
Hali kama hii imezifanya familia na jamii nyingi kutafuta suluhisho mbadala lisilo la vurugu na hapa ndipo ritua za kienyeji huingia kazini.... SOMA ZAIDA HAPA
Post a Comment