Maisha yangu yalibadilika ghafla miaka minne iliyopita nilipoanza kusumbuliwa na maumivu ya tumbo ya mara kwa mara. Kila nilipokula chakula chochote, hata kile cha kawaida kama wali au ugali, nilihisi tumbo kuniuma kana kwamba kuna kitu kilikuwa kinanikata ndani kwa ndani.
Wakati mwingine maumivu yalikuja kwa ghafla, nikashindwa hata kusimama. Nilianza kuishi kwa hofu na mashaka, nikawa siwezi kula mbele ya watu wala kuhudhuria mikutano mikubwa. Soma zaidi hapa.
Post a Comment