Niliota Naenda Mahakamani Asubuhi Yake Polisi Walikuja Kunikamata Kwa Kosa Sijui Hata Lilipotokea

 


Nilipoamka asubuhi ile, nilikuwa na wasiwasi usio wa kawaida. Usiku mzima niliota nikiwa ndani ya chumba mahakamani nimesimama kizimbani nikijitetea mbele ya hakimu.

Nilikuwa navua viatu na kusujudu chini ya hofu, nikimuomba hakimu anisamehe kwa kosa ambalo hata kwenye ndoto sikuambiwa ni lipi. Niliamka nikiwa na jasho, moyo ukipiga kwa nguvu, lakini nikaipuuza kama ndoto za kawaida tu.

Lakini dakika chache baadaye, niliposikia hodi kali langoni na kufungua, nilijikuta nikiwa uso kwa uso na polisi wanne waliokuwa na hati ya kunikamata.

Walinitaja kwa jina langu kamili na kuniambia nina kesi ya udanganyifu wa kifedha ambayo imeripotiwa jana jioni na tayari mashitaka yamefunguliwa.... SOMA ZAIDI HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post