Sikuwahi kuelewa kwa nini kila mwanaume aliyenitongoza huondoka baada ya wiki chache tu. Ilikuwa kana kwamba kuna kitu ndani yangu kinawasukuma wakimbie.
Wengine walionesha mapenzi ya haraka mno mwanzoni, wakinipa ahadi za ndoa na maisha mazuri, lakini mara tu ninapojibu hisia zao, wanabadilika ghafla kama hawakuwahi kuniambia chochote. Soma zaidi hapa.
Post a Comment