Kazi yangu ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu. Nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni ya mawasiliano kama msaidizi wa masuala ya rasilimali watu. Nilipenda kazi yangu, nilifanya kwa bidii, na bosi wangu alikuwa akinipongeza kila mara. Tulikuwa na maelewano mazuri, na hata wenzangu walikuwa wakiniita ‘msimamizi mtarajiwa’.
Lakini hali ilibadilika ghafla. Bosi wangu alianza kunitazama kwa macho ya mashaka, mazungumzo yetu yakawa mafupi na yenye baridi. Alianza kunipatia kazi nyingi zisizoeleweka, na mara nyingi alinikosoa hadharani bila sababu. Nilijaribu kujibadilisha, kuwa mtulivu, hata kuomba kusamehe kwa mambo ambayo sikuwa nimekosea. Soma zaidi hapa.
Post a Comment