Mwanamke Alia Damu Baada ya Kugusa Picha ya Mpenzi Wake Mpya Kumbe Ni Mla Watu wa Kiroho


 Sikuwahi kuelewa kwa nini nilivutwa naye kwa nguvu ya ajabu. Nilikuwa nimemaliza uhusiano wenye maumivu makali na niliapa sitapenda tena haraka.

Lakini aliponitokea, ilikuwa kama siwezi kujizuia. Sauti yake, macho yake, kila kitu kilinitia mzimu wa mapenzi ambao siwezi kueleza hadi leo. Nilianza kumwota kabla hata hajanitongoza. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post