Kila mtu huwa na kazi ambayo hutamania maishani mwake. Wengine hupenda kuwa wahandisi, wafanyabiashara, waalimu na hata watu mashuhuri kwenye jamii.
Kwa jina ni Hezbon na lengo langu maishani ilikuwa ni kuwa Daktari kwani nilikuwa hata na nimehitimu kutoka katika chuo kimoja kikuu nchini Kenya ambapo nilikuwa nimesomea suala zima la kuwa Daktari.
Ila hali ilikuwa ngumu kwani kila mahali nilipopeleka barua zangu za kuomba kazi mara waliniambia kwamba hapakuwa na nafasi ama mara nyingine walisema kuwa walitaka niwe na ujuzi wa miaka kama minne. Soma zaidi hapa.
Post a Comment