Bada kutua Yanga ni suala la muda


 Katika mchakato wa maboresho ya kikosi, Klabu ya Yanga inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo fundi wa Singida Black Stars, Josephate Arthur Bada

Bada amekuwa katika kiwango bora msimu huu akifunga mabao matatu na kutoa asisti nane, amehusishwa na Yanga kwa kipindi kirefu. Wananchi wasubiri tamko rasmi la uthibitisho wa usajili wake pale dirisha la usajili litakapofunguliwa Julai 1

Nyota huyo ana uwezo wa kucheza kama kiungo wa kati namba 8 na hata kiungo mshambuliaji namba 10. Ujio wake una maana kubwa katika kikosi cha Yanga, kwani unaongeza ushindani katika eneo ambalo wachezaji kama Mudathir Yahya na Duke Abuya wamekuwa wakitumika.

Pia, Bada anaweza kuziba nafasi ya Stephane Aziz Ki, aliyekuwa mhimili wa eneo la kiungo cha ushambuliaji kabla ya kutimkia Wydad Casablanca ya Morocco.

Ikumbukwe Bada ni miongoni mwa wachezaji wa kigeni waliopata uraia wa Tanzania msimu huu. Sambamba na wachezaji wengine wawili wa Singida BS Mohamed Domaro Camara na Emmanuel Keyekeh

Wachezaji hao walitangazwa rasmi kuwa raia wa Tanzania na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, hatua itakayomuwezesha Bada kusajiliwa kama mchezaji wa ndani katika ligi ya Tanzania Bara.

Yanga imedhamiria kukisuka upya kikosi chake kwa kufanya maboresho muhimu yanayolenga kuwa na kikosi imara ambacho msimu ujao kitafanya vizuri katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya msimu huu kuishia hatua ya makundi

Usikose kuitazama mechi hii ya AFRIKA KUSINI vs TANZANIA LIVE  bure kupitia simu yako  download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post