Nilikuwa nimejitoa kwa moyo wote katika uhusiano wetu wa miaka miwili. Tulikuwa tumepanga kila kitu pamoja kuanzisha biashara, kununua ardhi, na hata tulikuwa tumechagua majina ya watoto wetu wa baadaye.
Kila mtu alituona kama wanandoa wa baadaye. Sikuwahi kufikiria kuwa mtu niliyempenda kwa dhati, ambaye niliamini hataniondoka kamwe, angenigeuka na kuniacha bila hata maelezo ya kina....SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment