Alikuwa anaota anazama kila siku hadi akaambiwa maana ya ndoto hizo na kupewa suluhisho


 Kwa kipindi cha miezi sita mfululizo, nilianza kuota ndoto za ajabu sana kila usiku, bila kukosa, nilijikuta nikiwa ndani ya maji nikizama. Wakati mwingine ni bahari kubwa yenye mawimbi, wakati mwingine ni mto mweusi unaovuta kila kitu.

Nilikuwa najikuta nikipambana kuokoa maisha yangu ndani ya ndoto hizo, lakini kila mara nikiwa dhaifu na nikiamka nikiwa na hofu, jasho jingi na mapigo ya moyo kwenda mbio. Ndoto hizo zilikuwa zinajirudia mara kwa mara hadi zikaanza kunichosha kiakili na kimwili. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post