Kwa muda mrefu nilihisi maisha yangu hayakuwa ya kawaida. Kila usiku nilikuwa naona kivuli kikubwa kikinifuata, hata nikijaribu kuwasha taa au kubadili chumba cha kulala, hali ilikuwa ile ile.
Mara nyingine nilihisi kama mtu amenikalia kifuani, nashindwa kupumua, au naskia sauti zinazonitisha. Nilijitahidi kujikaza, nikafikiri labda ni msongo wa mawazo au uchovu wa kazi, lakini kadri siku zilivyozidi kwenda, hali hiyo ikawa mbaya zaidi....SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment