Sikuwahi kuamini mambo ya uchawi kwa moyo wote hadi nilipoyapitia mwenyewe. Mimi ni fundi seremala niliyejitegemea kwa miaka kadhaa na nilikuwa nimejenga jina langu kwa ubora wa kazi yangu.
Nilikuwa nafanya kazi maeneo tofauti ya Mkoa wa Mara, na wateja wangu waliongezeka kila wiki. Nilianza kujenga nyumba yangu mwenyewe na kununua gari ndogo kwa ajili ya kusafirisha vifaa vya kazi...SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment