Wakazi wa kijiji chetu walimchukulia kama mtu asiyeweza kabisa kuendelea na maisha ya kawaida. Alipitia mateso makubwa ya kudhalilishwa, kusemwa vibaya na hata kuogopwa kana kwamba alikuwa na laana ya kurithi.
Hali yake ya kiafya na muonekano wake wa kimwili vilimfanya kutengwa na jamii, hata ndugu zake wa karibu walijitenga naye polepole bila kumwambia. Hilo lilimvunja moyo kwa kiasi kikubwa na kumpeleka kwenye maisha ya upweke na huzuni ya kudumu.....SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment