Nilikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Zack, kijana mtanashati aliyependeza ajabu. Mbali na hilo, alikuwa mtu ambaye anajituma na mwenye bidii katika kazi.
Alifanya kazi ya upishi katika Hoteli moja Nairobi, aliwahi kuniambia kuwa utanashati wake ndio uliofanikisha kuajiriwa katika Hoteli ile ya kifahari...SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment