Walikataa Saini Mkataba Baada ya Siku Moja Walinipigia Wenyewe

 Wakati niliketi mbele ya bodi ya wawekezaji wanne katika mkutano wa mwisho wa kusaini mkataba wa ushirikiano wa biashara, moyo wangu ulikuwa umejaa matumaini.



Nilikuwa nimetumia miezi mitatu kuandaa pendekezo, kufanya mawasiliano, na kukutana nao mara kadhaa. Kila kitu kilionekana kwenda sawa mpaka tulipofika kwenye hatua ya mwisho.

Mmoja wao aliniangalia na kusema, “Tunasikitika, lakini hatuko tayari kusaini mkataba huu kwa sasa.” Nilishindwa kuamini masikio yangu. Aliongeza kuwa wanahitaji muda zaidi kufikiria, lakini kutoka sura zao, nilijua walikuwa wamekata tamaa kabisa.

Nilijikakamua kutabasamu na nikawashukuru....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post