Katikati ya mji wa Sia kulikumbwa na kisa cha kushangaza siku ya Jumamosi wakati mteja fulani katika hoteli moja ya eneo hilo kupata nywele za binadamu kwenye sahani yake ya pilau.
Hoteli hiyo inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu katika eneo hilo, Joe, ilidaiwa kutumia uchawi kuvutia wateja na kuwadhuru washindani wake kibiashara.
Mteja huyo aliyejitambulisha kwa jina la Keisha alisema alikuwa ameagiza pilau na kitoweo cha nyama ya ng’ombe kwa chakula cha mchana katika hoteli hiyo...SOMA ZAIDI
Post a Comment