Wakati wengine walikulia kwenye familia zenye utajiri au angalau kipato cha kawaida, mimi nilizaliwa kwenye familia iliyohitaji miujiza ili kupata mlo mmoja kwa siku. Maskini hohehahe.
Tulikuwa tukilala sakafuni, bila magodoro, na mara nyingi mama alikuwa akitufunika kwa kanzu yake ya zamani kuwakinga wadogo zangu dhidi ya baridi. Shule ilikuwa mateso, si kwa sababu ya walimu, bali njaa na aibu ya kuvaa sare zilizochanika.
Maisha haya yaliniharibu kisaikolojia kiasi kwamba nilikua mtu wa kujidharau. Wakati...SOMA ZAIDI
Post a Comment