Siku hiyo nilikuwa peke yangu nyumbani. Ilikuwa siku ya Jumamosi saa mbili usiku, nilikuwa nimekamilisha kazi za siku na nikajipumzisha kwenye kochi langu la sebuleni.
Kama ilivyo kawaida yangu, nikachukua simu yangu kupiga picha ya selfie kwa ajili ya kupakia kwenye WhatsApp status. Nilitabasamu kidogo na kupiga picha moja tu, halafu nikaangalia matokeo yake kabla sijaiweka hadharani..... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment