Nilimvalisha Mume Wangu Pete Bila Kumweleza Siri Yake, Sasa Hanisikii Mwingine Zaidi Yangu

 

Jina langu ni Asma. Nilikuwa kwenye ndoa kwa miaka minne lakini maisha yangu ya ndoa yalikuwa ya huzuni na mateso. Mume wangu ambaye nilidhani ni zawadi kutoka kwa Mungu aligeuka kuwa mtu mwingine kabisa baada ya harusi.

Alianza kutoka nje ya ndoa, kurudi nyumbani usiku wa manane, na hakuwahi kunisikiliza hata nilipokuwa na malalamiko ya wazi. Nilijikuta nikilia usiku mwingi nikiwa kitandani peke yangu, nikijiuliza kwa nini mapenzi yetu yalikauka haraka hivyo.

Nilijaribu kila njia niliyoweza kufikiri maombi, ushauri...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post