Kwa jina naitwa Juma kutoka Mwanza. Nilivyoanza maisha yangu ya utu uzima, sikuwa na bahati kabisa. Nilijaribu kila njia kujikimu kimaisha niliuza mitumba, nikauza chipsi, nikajaribu hata kuwa dereva wa boda boda, lakini bado maisha yalikuwa magumu. Hakuna biashara iliyodumu. Wateja walikuwa wachache, pesa hazikai, na kila nilichogusa kilionekana kuharibika.
Kila siku nilikuwa naamka mapema nikitarajia siku yangu itakuwa tofauti, lakini kila jioni nilijikuta nimerudi nyumbani mikono mitupu. Marafiki walinicheka, baadhi ya ndugu walinikwepa. Hali hii ilinifanya nipoteze matumaini kabisa. Nilifikiri labda mimi ni...SOMA ZAIDI
Post a Comment