Nilijaribu Kufungua Biashara Mara Tatu Lakini Haikufanikiwa Mpaka Nilipotumia Njia ya Baha

 Nilikuwa nimechoka. Kila mara nikijaribu kuanzisha biashara mpya, mambo hayaendi. Mara ya kwanza nilifungua kibanda cha kuuza chipsi na mayai mjini Morogoro.


 Nilikuwa na matumaini makubwa sana, lakini ndani ya miezi miwili, nikawa nimekula mtaji. Marafiki walinishauri niwe mvumilivu, nikajaribu tena.

Mara ya pili niliweka duka la kuuza nguo kutoka Kariakoo, lakini hakukuwa na wateja wa kutosha, na ghafla bidhaa zilianza kuharibika. Hasara nyingine....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post