Nilidhani Mapenzi Yameisha Baada ya Miaka 10 ya Ndoa—Mpaka Nilipoamsha Moto wa Awali Kwa Njia Hii

 ...

   Miaka 10  ya ndoa si mchezo. Ni muda mrefu wa kupitia mengi pamoja furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Lakini pia ni muda ambao, kama hutachukua hatua za makusudi, unaweza kupoteza kabisa ule upendo na shauku ya awali. Hilo ndilo lililotokea kwangu.

Nilipooana na mume wangu tulikuwa kama marafiki wakubwa hatukuweza kuachana hata kwa saa moja. Tulicheka pamoja, tulifanya kila kitu pamoja. Lakini kadri miaka ilivyoenda, maisha yakabadilika.

Tulipata watoto wawili, kazi zikatubana, na majukumu yakawa mengi. Hatukuwa tena wale watu waliokuwa wakitazamana kwa mapenzi ya dhati. Tuligeuka kuwa....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post