Nikiwa na miaka ishirini na mbili, nilichora tatoo ya joka begani kama alama ya nguvu na uhuru. Nilivutiwa nayo kupitia marafiki waliokuwa na alama kama hizo, hasa waliponiambia kuwa ni ishara ya ujasiri na kutokomezwa kwa woga.
Kilichonishangaza ni kwamba mchoraji wa tatoo huyo alinisihi nisichague joka hilo, akasema linahitaji “masharti ya kiroho.” Nilidhani ni mbwembwe tu, na nikasisitiza.
Siku tatu baada ya kuchorwa tatoo hiyo, nilianza kuota....SOMA ZAIDI
Post a Comment