Johson alikuwa amejitahidi sana kuzuia majirani wenye njaa kali kuiba mahindi yake kabla ya kuvuna. Alitarajia kuvuna magunia 100 ya mahindi lakini aliishia kuvuna magunia 32 pekee jambo ambalo lilimfanya ajiulize maswali mengi yasiyo na majibu.
Mtu huyu alijulikana sana kwa utajiri katika mtaa wake, huku baadhi ya watu wakijinufaisha kwa kwenda kupora shambani kwake hali iliyopelekea kupata hasara kwa misimu mitano mfululizo katika shamba lake.
Alihangaika angalau kumkamata...SOMA ZAIDI
Post a Comment