Mwenye Nyumba Alitaka Kunifukuza Bila Haki Lakini Alijuta Baada ya Hatua Niliyopiga

 

Ilikuwa ni siku ya Jumatano ya kawaida kabisa niliporudi kutoka kazini nikiwa nimechoka, nikakuta barua ya onyo imebandikwa mlangoni kwangu. Ilikuwa ni notisi kutoka kwa mwenye nyumba wangu, Bwana Magembe.

Ilinieleza kuwa nimepewa siku saba tu kuhama. Hakukuwa na maelezo ya kutosha hakuna deni, hakuna kosa nililotenda. Nilihisi damu ikipanda haraka, moyo ukawa mzito kwa hasira na hofu. Jirani zangu walishangaa kusikia taarifa hiyo.

Wengi walikiri kuwa mimi ndiye mpangaji mtulivu zaidi, sikuwahi kuchelewesha kodi wala kusababisha fujo. Nilipojaribu kuzungumza na Bwana....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post