Mbinu chafu za Askofu kuharibu ndoa za watu zafikia mwisho

Mhubiri mwenye utata kutoka Kakamega nchini Kenya, Askofu Joshua ambaye amekuwa akichukua vichwa vya habari kwa mbinu zake za uponyaji zisizo za kawaida, ametetea matendo yake na kuwapinga wakosoaji wake.

Katika video iliyosambaa kwa kasi mtandaoni mnamo Februari mwaka huu, Askofu ambaye siku chache zilizopita alirekodiwa akigusa sehemu za siri za wanawake mmoja, alisema kwamba hakuna mtu anayepaswa kumfundisha kazi yake.

“Ninafanya ukombozi...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post