ina langu ni Queen, miezi sita iliyopita, nilianza safari ya mabadiliko maishani kwa kuhama kutoka kwenye kazi yangu ya zamani na kwenda nyingine ambayo nilikuwa na matumaini makubwa nayo.
Uamuzi huu ulitokana na hamu ya kupata changamoto mpya ili kuwa na ukuaji katika kazi yangu katika maeneno mbalimbali hasa upande wa kiuchumi.
Licha ya kuwa mdogo, kupata nafasi kama mfanyakazi wa kitengo cha mawasiliano katika hoteli ya kifahari ya nyota tano, ilikuwa hatua kubwa kwangu hasa upande wa kupata uhuru wa kifedha.
Hata hivyo, msisimko wangu wa awali...SOMA ZAIDI
Post a Comment