Kwa muda mrefu familia yetu ilikuwa ikikumbwa na misukosuko isiyoelezeka, tulikisia ni uchawi. Kila aliyekuwa anafanikiwa kwao ghafla alianza kudorora. Watoto walifukuzwa shule kwa sababu zisizoeleweka, biashara za kaka zangu zilikufa ghafla, na hata afya ya mama yetu ilianza kuzorota pasipo ugonjwa halisi kujulikana. Tulisali, tulifunga, lakini hali ilizidi kuwa mbaya.
Kila mtu alikuwa anahisi hali hiyo si ya kawaida. Hata wageni waliokuja nyumbani walihisi hali ya baridi na uzito wa ajabu mara tu walipoingia mlangoni. Mmoja wa marafiki wa karibu wa familia yetu alituambia wazi kuwa huenda kuna mtu ametuloga au ametutendea jambo la kichawi... SOMA ZAIDI HAPA.
Post a Comment