Alisema Spells Hazifanyi Kazi Mpaka Ex Wake Alipopata Ajali Baada ya Kumcheat

 

Siku zote alikuwa miongoni mwa wale wanaopinga imani yoyote inayohusiana na mambo ya kazi za kiroho au usaidizi wa kipekee nje ya hospitali na sheria za kawaida. Jina lake ni Brian, na alikuwa rafiki yangu wa karibu tangu chuo kikuu. Mcheshi, mwenye akili nyingi, lakini mwenye misimamo mikali isiyoyumba hasa linapokuja suala la imani zisizo za kisayansi.

Lakini maisha ni walimu wakubwa kuliko vitabu. Na wakati mwingine, hata wasioamini, hupata sababu ya kufikiri upya. Brian alikuwa kwenye uhusiano wa muda mrefu na msichana aitwaye Hellen. Walikuwa kama mfano wa wapenzi bora mitandaoni.

Picha za mapenzi, safari, zawadiilikuwa....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post