Je, umewahi kujiuliza jinsi watu wengine wanaweza kutumia uchawi kuharibu maisha ya wengine?, wanawezaje kuwa wakatili na wasio na huruma ili kuharibu maisha ya baadaye na furaha ya mtu asiye na hatia yoyote?.
Je, wanawezaje kusimamishwa na kuadhibiwa kwa matendo yao maovu?, hiki ndicho kisa cha Suzi Ndichu, msichana mahiri kutoka Meru nchini Kenya ambaye alionekana utafika mbali kimasomo.
Alikuwa mwanafunzi bora katika shule yake ya msingi na alipata alama 401 katika mitihani yake ya KCPE. Alikubaliwa kujiunga katika shule ya kimataifa katika eneo la Kitisuru jijini Nairobi ambapo alitarajia kutimiza ndoto zake.
Lakini hakujua kuwa maisha....SOMA ZAIDI
Post a Comment