Naitwa Mama Judi, nimejaliwa kupata watoto wanne ambao bado kwa sasa wanasoma shule ya msingi, nawapenda sana watoto wangu wote na nimekuwa nikihakisha kuwa wanapata kila mahitaji hasa ya shuleni.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo pembezoni mwa jiji nikifanya kazi ya Mama Lishe, huwa narejea nyumbani usiku sana nikiwa nimechoka na muda mwingine huwa nawakuta watoto wamelala.
Dada wa kazi ndio huwa ananisaidia kila kitu, kuanzia kuwaandalia chakula, kuwapikia, baadhi ya kazi walizopewa shuleni (home work) na kuhakikisha....SOMA ZAIDI
Post a Comment