“Niliitwa mchawi kisa kutembea ndotoni”

 Kuna baadhi ya mambo ni vigumu sana ya kuyaelezea kwa watu na ukaeleweka kwa urahisi, hasa pale jambo hilo linapohusisha imani za kishirikiana au uchawi kwani kuna watu hawaamini katika mambo hayo.

Binafsi niliteseka kwa miaka mingi na tatizo la kuota ndoto kisha naamka toka kitandani na kuanza kutembea hadi kwa majirani ambao waliweza kunikamata na hapo ndipo nashtuka kutoka kwenye ndoto.

Nilikuwa naulizwa vipi nilikuwa napata....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post