Kwa miaka mingi, maisha yangu yalizungukwa na ndoto moja tu: kuwa mama. Kila mwezi nilijikuta nikitumaini na kuomba, lakini kila jaribio liligeuka kuwa majuto na machozi.
Mimi na mume wangu tulianza safari ya matibabu ya uzazi miaka miwili baada ya ndoa yetu.
Tulitembea hospitali nyingi, tukifanya vipimo vingi na kutumia pesa nyingi kwa matibabu ya kisasa yaliyotuahidi miujiza. Kila daktari alikuwa na pendekezo jipya, kila....Soma Zaidi

Post a Comment