Kikosi : Stellenbosch vs Simba, CAF CC, SF2

 

Jioni ya leo kikosi cha Simba kitakuwa uwanja wa Moses Mabhida, Durban kuikabili Stellenbosch katika mchezo wa mkondo wa pili nusu fainali ya kombe la Shirikisho (CAF CC)

Hii ni mechi ya kihistoria kwa Simba kwani ushindi au matokeo yoyote ya sare yataihakikishia Simba kutinga fainali

Kocha Fadlu Davids amechagua kuanza na kikosi hiki;

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post