Kutana na Tumaini Mwangi ambaye ni mtu mwenye furaha na mafanikio, aanamiliki jumba la kifahari huko Runda, Nairobi nchini Kenua, pia ana magari na biashara kadhaa. Kwa kifupi anaishi maisha ya ndoto zake.
Hata hivyo, miaka minne iliyopita, alikuwa mtu aliyevunjika moyo na kukata tamaa, alifanya kazi kama mlinzi katika duka moja huko Bunju, akipata mshahara mdogo ambao ulitosheleza mahitaji yake ya kimsingi pekee.
Alikuwa na mke na watoto watatu...SOMA ZAIDI
Post a Comment