Katika ukoo wetu kuna kitu ambacho kilikuwa kina mtokea kila mtu, mwanzo nilikuwa nahisi ni bahati mbaya lakini nikaja kubaini kuwa ukoo wetu umevamiwa na mikosi ya kutisha.
Jambo liloshangaza kulikuwa hakuna mtoto ndani ya ukoo alikuwa anafaulu sehemu yoyote katika masomo yake, wote walikuwa wakifika darasa la saba wanafeli na kurudi nyumbani kuchunga mifugo.
Kibaya zaidi hata walipokuwa vijana...SOMA ZAIDI
Post a Comment