Akumbwa na mazito kisa kuuza uroda

 Jina langu ni Da Cutty kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi ya kuweza kuendesha maisha.

Nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo umepata fedha kidogo inabidi kuwagawia kidogo.

Ila changamoto nyingine ni kwamba wateja wengi...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post