Baada ya mapumziko ya zaidi ya siku 10, Wananchi leo watashuhudia burudani kutoka kwa timu yao Yanga pale itakapoikabili Coastal Union katika mchezo wa hatua ya 32 bora kombe la Shirikisho la CRDB
Mtanange huo wa kukata na shoka, utapigwa saa 10 jioni katika dimba la KMC Complex
Ni kumbukumbu ya fainali ya misimu mitatu iliyopita timu hizo zilipokutana katika michuano hiyo mkoani Arusha na Yanga kubeba kombe kwa ushindi wa mikwaju ya penati 4-1 baada ya matokeo ya sare ya mabao 3-3
Msimu huu Yanga na Coastal Union tayari zimekutana mara moja katika mchezo wa ligi kuu Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0
Ni wazi haitakuwa mechi rahisi, Coastal Union haijawahi kuwa mpinzani mwepesi kila inapokutana na Yanga
Kocha wa Yanga Miloud Hamdi amepata muda wa kutosha kukiandaa kikosi chake ambacho kilipaswa kucheza dhidi ya Simba Jumamosi iliyopita lakini mechi ikaota mbawa katika mazingira ya kutatanisha
Mshindi wa mchezo huo atajihakikishia tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora ambapo atachuana na Songea United
Usikose kuitazama mechi hii ya YANGA 🆚 COASTAL UNION LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment