Wakati wakisubiri terehe mpya ya mchezo dhidi ya Yanga ambao uliahirishwa , kikosi cha Simba kinaelekeza nguvu zake katika mechi mbili zinazofuata
Kwa mujibu wa ratiba, kesho Jumanne, March 11 Simba itashuka uwanja wa KMC Complex kumenyana na TMA Stars inayoshiriki ligi ya Championship katika mchezo wa raundi ya nne ya kombe la FA
Baada ya mchezo huo Simba inakabiliwa na mechi nyingine ya kiporo ligi kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji ambayo itapigwa Ijumaa, March 14 hapohapo KMC Complex
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment