
Coastal Union vs Simba SC 01 March 2025
Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo Simba iko ugenini mkoani Arusha kumenyana na Coastal Union
Baada ya kudondosha alama mbili katika mchezo uliopita dhidi ya Azam Fc, unaweza kusema Simba leo inazihitaji alama zote tatu ili kuendelea kusalia katika mbio za ubingwa
Simba imeachwa alama 7 na Yanga inayoongoza ligi lakini Mnyama ana mechi mbili za viporo ukiwemo huu wa Coastal Union unaoipigwa leo
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mechi hii hawana nafasi ya kufanya makosa kwani matokeo tofauti na ushindi yanaweza kuongeza presha kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa wiki ijayo, March 08
Usikose kuitazama mechi hii ya COASTAL UNION 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment